Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa hivi vigezo vyake, basi huyu jamaa atafanikiwa labda kupata MCHAMBA! Ila siyo MCHUMBA!
Ntafutie boss ntashukuru.We jamaa ni mshamba sana.
una kazi ya serikali with all movements zako bado hujaona wa kuchukua namba umtongoze au wewe wao hawajui kazi yako wakushobokee wenyewe hata kazini hujui mashushu ofisini wapo wakukupeleleza umeoa, kazini mashushu watataka wajue unaishi vipi ulipo wakulengeshe mtoto wao.
Yaaani huko kigoma familia haijahangaika kukutengea muha aseee [emoji28]
We jamaaa ni muongo acha kutuchanganya akili sisi watu wazima.
nipe kazi nikutafutie mke unaye mtaka wa ndoto zako.
Wewe hautaki Mchumba?Hutaki mchumba