Kutafuta mwenza nyakati hizi ni jambo gumu ,linaloonekana jepesi machoni pa watu waliotanguliza hisia badala ya akili

Kutafuta mwenza nyakati hizi ni jambo gumu ,linaloonekana jepesi machoni pa watu waliotanguliza hisia badala ya akili

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,185
Reaction score
37,239
Habari za usiku waungwana..

Ni jambo lililo wazi kimaumbile kuwa mwanadamu mwenye utimamu wa akili na mwili anamhitajia mwenzake wa jinsia nyingine ili kukamilisha muunganiko wa kimaumbile unaoleta stara ya kibinadamu.

Ni jambo muhimu kwenye maisha ya mtu yeyote mwenye kuyatazama mambo kwa jicho hofu ya Mungu na aibu ya kutenda machafu..

Ugumu wa jambo hilo unatokana na jinsi ya kumpata huyo ubavu wako wa pili kwa maana ni maamuzi yanayokwenda kuamua mustakabali mzima wa maisha yako.....

Kupatia kwenye uchaguzi wa jambo hilo kunamaanisha kuwa umeingia kwenye raha na starehe tamu kuliko zote dunia..

Na kukosea kuchagua kwa usahihi kunamaanisha kuwa utaishi kipindi kirefu cha mateso na sonona.

Ni kipindi ambacho unatakiwa kuuweka moyo nyuma wako nyuma ili akili ikuoneshee yaliyo ya dhahiri ambayo moyo wako ungeyapuuzia kwa kuelemewa nmzigo ambapo baadae
 
Back
Top Bottom