Duh! Mzimu wa mwendazake huu
Huo uzi una uhusiano gani na maoni yangu?Kuna mwingine hapa alikuwa na mawazo kama yako mkuu:
Prominent COVID conspiracy theorist dies of virus
Mabibi na mabwana yamesemwa mengi na hata yamerushwa matusi mengi. Uzuri ni kuwa wapigania haki za watu kuishi hawana tuzo wala utambulisho wanaotaka kibinafsi hapa duniani wala huko juu mbinguni. Hapa yupo mwingine alikuwa mshupavu kweri kweri: Wajameni haka kaugonjwa kana tabia mbaya ya...www.jamiiforums.com
Wala usidhani kuwa uko peke yako.
ni sawa na kuvaa koti mchana wa jua kali useme kuna baridi.Pana mburumundu walioaminishwa kuvaa barakoa ni ushamba.
Ngoja waje.
sasa ukiambiwa kuna corona na huoni logic ya kuzuiwa na barakoa kwanini mtu akushangae kutoivaa!!!Siku zote kwenye maisha yako,usifanye jambo ili kufurahisha wengine au kusubiri reaction yao kwako,
Fanya jambo kama lina manufaa na wewe, jinsi watu watakavyo lichukulia hiyo wewe isikushughulishe,
Kila mtu na maisha yake na maamuzi yake ili mradi asivunje sheria za nchi tu au kwenda kinyume na maagizo ya Mungu.
Akili Kama zenu ndiyo zinawaza hata kuzika majeneza tupu ili ionekane Kuna Corona. Wasiwasi ni mbaya kuliko tatizo lenyewe.Duh! Mzimu wa mwendazake huu
Kiafya masaa manneKuna shida gani ukivaa hata kwa siku moja?
Kama ingekua inaua sana nadhani tz mngebaki wawili wakati mwingine tujikite kuwaza mamb beyond media ugonjwa wako namba moja ni uoga wako wapo wanaokufa mwa malaria kila ukicha mbn hamtembei na vyandaruaDuh! Mzimu wa mwendazake huu
We heshimu maoni yangu usitumie lugha chafu dhidi yangu, tujadili kwa hoja na usijione shujaa kwa kuwa unatazamana na keyboard mkuu.Wanaitwa mburumundu. Huyo ni mmoja tusubiri wengine.
Huo uzi una uhusiano gani na maoni yangu?
We heshimu maoni yangu usitumie lugha chafu dhidi yangu, tujadili kwa hoja na usijione shujaa kwa kuwa unatazamana na keyboard mkuu.
Tusiitane majina yasiyo na tija, am free to air out my views.
Hakika umenena mkuu, hawa watu wanaibua Mambo ambayo raia wa kawaida walishayasahau kabisa.Kama ingekua inaua sana nadhani tz mngebaki wawili wakati mwingine tujikite kuwaza mamb beyond media ugonjwa wako namba moja ni uoga wako wapo wanaokufa mwa malaria kila ukicha mbn hamtembei na vyandarua
Kila utakacholetewa lazima ufikiri kwa kina kumsema kwa namna hiyo mwendazake kwa kuwa ni ngumu kuelewa falsafa zake ila alikua sahihi sana sababu yaliyo nyuma ya pazia hamyajui wengi ila upendo wake Mungu tafuteni kuijua kweli ilojificha si lazima mjisaidie kama wao tafuteni njia yenu huku nje wanayafwata hayo lakini wanakufa kila ukicha
Missahau mlipotoka mjue muendako
Sitaki uniite vile, na hujaniita kwa nia njema bali ni kejeli Fulani hivi. Siyo vizuri kutafuta migogoro isiyo na ulazima mkuu, hatufahamiani, tujadili kwa kutumia lugha zenye staha mkuu.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Pole kama umekwazika ila umburumundu si tusi bali ni sifa. Yaani characteristics.
Sitaki uniite vile, na hujaniita kwa nia njema bali ni kejeli Fulani hivi. Siyo vizuri kutafuta migogoro isiyo na ulazima mkuu, hatufahamiani, tujadili kwa kutumia lugha zenye staha mkuu.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu kuna mtu kakushauri husichukue taadhari au husivae barakoa.Kwa sasa wizara, mahospitali TVs na radio kelele ni kujikinga au kuchukua tahadhari za wimbi la tatu la Covid-19.
Lakini tahadhari hizi sioni kama zina maana yeyote kwa mwananchi sababu watu wanaendelea na maisha kama kawaida inasaidia nini? Hutoi takwimu ili watu wajue kuwa mdudu kashaingia kweli nani ataamini kuwa kuna wimbi la tatu?
Tanzania hatutaki lockdown lakini hatua zichukuliwe kwa vitendo. Kiongozi unakusanya umati kwenye ukaguzi wa miradi, watu wanabanana kwenye daladala kama kawaida, wanajazana uwanjani, wanakutana kwenye vikao, makanisani, misikitini, mashuleni hayo matangazo ni itawakinga?
Endeleeni na matangazo tu bila hatua tuone kama kuna kitakachobadilika.
Mtanzania uhai wako uko mikononi mwako mwenyewe, endelea kuzembea uone kama haujaupoteza
1. Vaa barakoa
2. Nawa mikono mara kwa mara
3. Usisongamane kwenye watu wengi
Kuvaa barakoa sio ushamba au uoga ni hekima kwako ya utambuzi
Mungu anaipenda Tanzania zaidi kuliko nchi nyingine? Yan Mungu mbaguzi sio au sisi ndio taifa teule?Akili Kama zenu ndiyo zinawaza hata kuzika majeneza tupu ili ionekane Kuna Corona. Wasiwasi ni mbaya kuliko tatizo lenyewe.
Mwenyezi Mungu ndiye mwamuzi mkuu, trust him.[emoji120][emoji120][emoji120]
Mbona watanzania hawafi Kama hayo mataifa mengine?Mungu anaipenda Tanzania zaidi kuliko nchi nyingine? Yan Mungu mbaguzi sio au sisi ndio taifa teule?