#COVID19 Kutahadharisha kuhusu wimbi la tatu la Covid-19 bila kuchukua hatua stahiki ni kumpigia mbuzi gitaa

#COVID19 Kutahadharisha kuhusu wimbi la tatu la Covid-19 bila kuchukua hatua stahiki ni kumpigia mbuzi gitaa

Kuna mwingine hapa alikuwa na mawazo kama yako mkuu:

Wala usidhani kuwa uko peke yako.
Huo uzi una uhusiano gani na maoni yangu?
 
Siku zote kwenye maisha yako,usifanye jambo ili kufurahisha wengine au kusubiri reaction yao kwako,

Fanya jambo kama lina manufaa na wewe, jinsi watu watakavyo lichukulia hiyo wewe isikushughulishe,

Kila mtu na maisha yake na maamuzi yake ili mradi asivunje sheria za nchi tu au kwenda kinyume na maagizo ya Mungu.
sasa ukiambiwa kuna corona na huoni logic ya kuzuiwa na barakoa kwanini mtu akushangae kutoivaa!!!

corona yenyewe kwa jinsi ilivyo,kama ingekuwepo.hakuna mtu angekuwa salama dsm hii.
 
Duh! Mzimu wa mwendazake huu
Akili Kama zenu ndiyo zinawaza hata kuzika majeneza tupu ili ionekane Kuna Corona. Wasiwasi ni mbaya kuliko tatizo lenyewe.

Mwenyezi Mungu ndiye mwamuzi mkuu, trust him.[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Duh! Mzimu wa mwendazake huu
Kama ingekua inaua sana nadhani tz mngebaki wawili wakati mwingine tujikite kuwaza mamb beyond media ugonjwa wako namba moja ni uoga wako wapo wanaokufa mwa malaria kila ukicha mbn hamtembei na vyandarua
Kila utakacholetewa lazima ufikiri kwa kina kumsema kwa namna hiyo mwendazake kwa kuwa ni ngumu kuelewa falsafa zake ila alikua sahihi sana sababu yaliyo nyuma ya pazia hamyajui wengi ila upendo wake Mungu tafuteni kuijua kweli ilojificha si lazima mjisaidie kama wao tafuteni njia yenu huku nje wanayafwata hayo lakini wanakufa kila ukicha

Missahau mlipotoka mjue muendako
 
Wanaitwa mburumundu. Huyo ni mmoja tusubiri wengine.
We heshimu maoni yangu usitumie lugha chafu dhidi yangu, tujadili kwa hoja na usijione shujaa kwa kuwa unatazamana na keyboard mkuu.

Tusiitane majina yasiyo na tija, am free to air out my views.
 
We heshimu maoni yangu usitumie lugha chafu dhidi yangu, tujadili kwa hoja na usijione shujaa kwa kuwa unatazamana na keyboard mkuu.

Tusiitane majina yasiyo na tija, am free to air out my views.

Pole kama umekwazika ila umburumundu si tusi bali ni sifa. Yaani characteristics.
 
Kama ingekua inaua sana nadhani tz mngebaki wawili wakati mwingine tujikite kuwaza mamb beyond media ugonjwa wako namba moja ni uoga wako wapo wanaokufa mwa malaria kila ukicha mbn hamtembei na vyandarua
Kila utakacholetewa lazima ufikiri kwa kina kumsema kwa namna hiyo mwendazake kwa kuwa ni ngumu kuelewa falsafa zake ila alikua sahihi sana sababu yaliyo nyuma ya pazia hamyajui wengi ila upendo wake Mungu tafuteni kuijua kweli ilojificha si lazima mjisaidie kama wao tafuteni njia yenu huku nje wanayafwata hayo lakini wanakufa kila ukicha

Missahau mlipotoka mjue muendako
Hakika umenena mkuu, hawa watu wanaibua Mambo ambayo raia wa kawaida walishayasahau kabisa.

Corona haizuiliki kwa hizo barakoa wanazovaa kupigia picha dakika tano halafu wanazivua.

Mungu ndiye mlinzi Mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Pole kama umekwazika ila umburumundu si tusi bali ni sifa. Yaani characteristics.
Sitaki uniite vile, na hujaniita kwa nia njema bali ni kejeli Fulani hivi. Siyo vizuri kutafuta migogoro isiyo na ulazima mkuu, hatufahamiani, tujadili kwa kutumia lugha zenye staha mkuu.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sijakuita wewe na wala sina haja.

Kwani wewe wanipa kula?

Habari ndiyo hiyo.
 
Kwa sasa wizara, mahospitali TVs na radio kelele ni kujikinga au kuchukua tahadhari za wimbi la tatu la Covid-19.

Lakini tahadhari hizi sioni kama zina maana yeyote kwa mwananchi sababu watu wanaendelea na maisha kama kawaida inasaidia nini? Hutoi takwimu ili watu wajue kuwa mdudu kashaingia kweli nani ataamini kuwa kuna wimbi la tatu?

Tanzania hatutaki lockdown lakini hatua zichukuliwe kwa vitendo. Kiongozi unakusanya umati kwenye ukaguzi wa miradi, watu wanabanana kwenye daladala kama kawaida, wanajazana uwanjani, wanakutana kwenye vikao, makanisani, misikitini, mashuleni hayo matangazo ni itawakinga?

Endeleeni na matangazo tu bila hatua tuone kama kuna kitakachobadilika.

Mtanzania uhai wako uko mikononi mwako mwenyewe, endelea kuzembea uone kama haujaupoteza

1. Vaa barakoa
2. Nawa mikono mara kwa mara
3. Usisongamane kwenye watu wengi

Kuvaa barakoa sio ushamba au uoga ni hekima kwako ya utambuzi
Mkuu kuna mtu kakushauri husichukue taadhari au husivae barakoa.
Taarifa kila siku inatolewa na wizara husika tuchukue taadhari au hatua stahiki dhidi ya covid. Unataka mpaka watumie viboko au nguvu kwa raia wake?

Taarifa unazo pia ni jukumu lako kuchukua taadhari kwann uanze kulalama hapa? Kila siku unaona Madamu samia anavaa barakoa kwann na wewe usivae?
 
Akili Kama zenu ndiyo zinawaza hata kuzika majeneza tupu ili ionekane Kuna Corona. Wasiwasi ni mbaya kuliko tatizo lenyewe.

Mwenyezi Mungu ndiye mwamuzi mkuu, trust him.[emoji120][emoji120][emoji120]
Mungu anaipenda Tanzania zaidi kuliko nchi nyingine? Yan Mungu mbaguzi sio au sisi ndio taifa teule?
 
Mungu anaipenda Tanzania zaidi kuliko nchi nyingine? Yan Mungu mbaguzi sio au sisi ndio taifa teule?
Mbona watanzania hawafi Kama hayo mataifa mengine?

Mungu huweka mkono wake kwa wamuombao! Amini Sasa!
 
Back
Top Bottom