Kutahiri

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,930
Reaction score
2,565
Wadau ni wakati gani muafaka wa kumtahiri mtoto. Ni Dr gani au hospitali ipi nzuri nimpeleke junior. nitakuwa Dar soon so ningependa madactari wa dar...
 
Kwa udaktari wa Konnie, angalau mtoto afikishe miaka 7, mie ndio nilifanya hivyo kwa wote
Unataka mbuyu uwe Mwembe?? Kama ana miezi kadhaa hata mishipa yaweza mong'onyolewa.

Wakija madaktari watanibishia, ooha hakuna evidence, ila za kuambiwa changanya na zako.
Ukitaka kujua hata vitu vidogo vinaathiri ukuaji, panda ka mti afu kawekee kitu juu yake, kimti kitapinda kupisha kitu hicho.
 
Muache akue ili afanye maamuzi mwenyewe. Tena mi mamshauri umuache akue aonje likiwepo na aonje tena akisha kata na hapo atapata cha kusimulia, Ukimtoa afu akaja kudai ukubwani je?
 
Ngozi ikikomaa sana inakua shida, na husababisha maumivu kwa kijana, ni bora kukatwa akiwa mdogo kuanzia wiki tatu ni poa tu. kumbuka ukiiwacha hii ngozi inakua lakini ukiitoa mapema zile cells zinahamia kwa dudus.. teh teh...
 
Wadau ni wakati gani muafaka wa kumtahiri mtoto. Ni Dr gani au hospitali ipi nzuri nimpeleke junior. nitakuwa Dar soon so ningependa madactari wa dar...
anytime from three weeks is okay. any doctor can do this, it is a minor operation, there is no harm at all..
 
....asnte kwa muongozo huu,hii itanipa udadisi wa kutosha kablasijafanya maamuzi ya mwisho...
 
nimekuja mbio nikiwa nimeshikilia mbavu zangu nikijua ni weye
ngoja madoctor watakushauri

,,,teh teh we nipe muongozo tu inaweza kuwa ni mimi teh teh tehhhh,si unajua huku mwanakwerekwe mambo yetu...
 
Muda mzuri wa kutahiri ni siku 7 tu za kuzaliwa na usimsubiria kuwa mkubwa mwili ukianza kuwa na mafuta inakuwa usumbufu mkubwa sana na mara nyingi husumbua sana kidonda au kuacha ngozi mfinyango ktk sehemu husika,mm wa kwangu nawatahiri ndani ya siku 7 tu.
 
anytime from three weeks is okay. any doctor can do this, it is a minor operation, there is no harm at all..

...nilipata simulizi ya dr mmoja aliharibu kabisa duduz ya jamaa mpaka akapelekwa polisi ndo maana na kuwa mwangalifu juu ya dr's siunajua junior ni handsome kuzidi mdingi wake...teh tehh...
 
...mkuu usihofu mi nataka huduma yake tu .....
Nimeshakuambia hatahiri shauri yako utakuja kupigwa si umesikia Waziri wako mkuu jinsi anavyosema kuhus Raia wanaofanya fujo wapigwe? usije ukapigwa na polisi shauri yako mkuu Gefu
 
Last edited by a moderator:
 
Nimeshakuambia hatahiri shauri yako utakuja kupigwa si umesikia Waziri wako mkuu jinsi anavyosema kuhus Raia wanaofanya fujo wapigwe? usije ukapigwa na polisi shauri yako mkuu Gefu

....daaaah mkuu taratibu, inaonyesha humuamini kabisa Mamndenyi....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…