Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache akue na mkono sweta huo.
Dr Amir yuko Fire ukiulizia utaelekezwa ni dokta mzuri sanaWadau ni wakati gani muafaka wa kumtahiri mtoto. Ni Dr gani au hospitali ipi nzuri nimpeleke junior. nitakuwa Dar soon so ningependa madactari wa dar...
Itakua ilikua bahati mbaya tu, lakini hii operation ni almost 100% sure....nilipata simulizi ya dr mmoja aliharibu kabisa duduz ya jamaa mpaka akapelekwa polisi ndo maana na kuwa mwangalifu juu ya dr's siunajua junior ni handsome kuzidi mdingi wake...teh tehh...
Muda mzuri wa kutahiri ni siku 7 tu za kuzaliwa na usimsubiria kuwa mkubwa mwili ukianza kuwa na mafuta inakuwa usumbufu mkubwa sana na mara nyingi husumbua sana kidonda au kuacha ngozi mfinyango ktk sehemu husika,mm wa kwangu nawatahiri ndani ya siku 7 tu.
Ngozi ikikomaa sana inakua shida, na husababisha maumivu kwa kijana, ni bora kukatwa akiwa mdogo kuanzia wiki tatu ni poa tu. kumbuka ukiiwacha hii ngozi inakua lakini ukiitoa mapema zile cells zinahamia kwa dudus.. teh teh...
....asnte kwa muongozo huu,hii itanipa udadisi wa kutosha kablasijafanya maamuzi ya mwisho...
bibie Mamndenyi Mimi ninataka wewe unitahiri govi langu je utaweza? hahahahahah :biggrin::A S 41::teeth:
ha ha ha haaa
ha ha ha
kwiiiii kwiii kwiii MziziMkavu daaaah
umeniacha hoi,
jibu unalo wewe mwenyewe kama naweza au sitaweza.
Ni Dr wa Zimamoto?Dr Amir yuko Fire ukiulizia utaelekezwa ni dokta mzuri sana
Mkuu BAK umenichekesha Mimi umri niliokuwa nao miaka 48 unaweza kuamini bado nina Govi? Hospitali zote zilizokuwepo duniani bado niwe nalo mkono wa sweta?mimi nimekatwa huo mkono wa sweta miaka 45 iliyopita wakati nina umri wa miaka 4 nilikuwa ninamtania bibie kipenzi.@Mamndenyihahahahahah lol! Sheikh MziziMkavu kumbe bado ni mkono wa sweta lol! halafu unataka assignment ya kuundoa mkono wa sweta unataka kumpa Mamndenyi lol!!!! asiee nimecheka sana....JF ni burudani ya aina yake.
Bibie Mamndenyi nije sasa utanikata hilo govi langu? hahahahahahahh ukisha nikata utanitibia mpaka nipone unasemaje?ha ha ha haaa
ha ha ha
kwiiiii kwiii kwiii MziziMkavu daaaah
umeniacha hoi,
jibu unalo wewe mwenyewe kama naweza au sitaweza.
Jidanganye
Huo mfinyango ndio utamu wenyewe
Unataka iwe plain kwani karatasi hiyo kusema unataka isikwame kwenye printer?
Inaonyesha nawe ni mtoto pia, acha ujinga peleka mtoto akatolewe uchafu, Biblia inasema baada ya siku saba tangu kuzaliwa,
Bibie Mamndenyi nije sasa utanikata hilo govi langu? hahahahahahahh ukisha nikata utanitibia mpaka nipone unasemaje?