kutahiriwa kwa wanaume

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
182
Ndugu wadau kuna taarifa nimezisikia kuwa mwanaume aliyetahiriwa ana asilimia chache za kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi endapo atafanya mapenz na mtu aliyeathirika na vvu, je ni kweli?
 
Usidanganywe hivyo, kuambukizwa inategemea mambo mengi sana, mfano ufanyaji wa mapenzi, ukubwa wa wa uume wako au udogo wa uke, kuwa na michubuko kati yenu nk
 
Mkuu ni kweli inategemea mambo mengi lakin ukubwa wa uume au udogo wa uke pia ni sababu mojawapo kweli? Nakumbuka pia kuna kampeni ya tohara ambayo serikal ilifanya nchi nzima bure kabisa, hivi lengo lake lilikuwa ni nin hasa?
 
Lengo lilikuwa nihilo la kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya zinaa ikiwemo na HIV, si unajua ukiwa na gov linatunza uchafu hivyo linaweza likatunza hata virusi vinavyoasababisha ukimwi! Lakini huwa najiuliza mbona India wao hawatairi na hawana hata dalili za kampeni ya tohara kwani huko HIV hakuna?
 
Kutahiri mwanaume ni kufuru, Kwanini govi iliwekwa hapo, si laZma ina kazi maalum?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…