Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Ndugu wadau kuna taarifa nimezisikia kuwa mwanaume aliyetahiriwa ana asilimia chache za kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi endapo atafanya mapenz na mtu aliyeathirika na vvu, je ni kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kuambiwa uwe unachanganya na za kwako kiongozi...
Ndugu wadau kuna taarifa nimezisikia kuwa mwanaume aliyetahiriwa ana asilimia chache za kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi endapo atafanya mapenz na mtu aliyeathirika na vvu, je ni kweli?
Usidanganywe hivyo, kuambukizwa inategemea mambo mengi sana, mfano ufanyaji wa mapenzi, ukubwa wa wa uume wako au udogo wa uke, kuwa na michubuko kati yenu nk
Mkuu Jioni njema....Usidanganywe hivyo, kuambukizwa inategemea mambo mengi sana, mfano ufanyaji wa mapenzi, ukubwa wa wa uume wako au udogo wa uke, kuwa na michubuko kati yenu nk
Mkuu ni kweli inategemea mambo mengi lakin ukubwa wa uume au udogo wa uke pia ni sababu mojawapo kweli? Nakumbuka pia kuna kampeni ya tohara ambayo serikal ilifanya nchi nzima bure kabisa, hivi lengo lake lilikuwa ni nin hasa?
Mkuu Jioni njema....
Looking for your Best blessing kakangu!Kijana kila kona upo!