Kuchelewa ni relative term..... Labda ungetoa range ya miaka..... Ingetusaidia sie wananchi wa kawaida.Jamii za watu wanaochelewa kutahiri watoto wao ni mara chache sana kusikia watu kutoka jamii hizo wakilalamika vibamia e.g wakurya, masai, wasukuma nk ukilinganisha na zile jamii zinazowahi kutahiri...! Hivyo tafakari na chukua hatua
Subiri mpka abalehe maana hapo viungo vya uzazi tayari unakuta vimeshakua...! Maika 14-16Kuchelewa ni relative term..... Labda ungetoa range ya miaka..... Ingetusaidia sie wananchi wa kawaida.
Huwa ni wiki 3 mpaka mwezi..... mtoto anakuwa amepona.Wanahitaji elimu hao. Hasa hapo wanaposema usimuingilie mkeo hadi dogo apone.
Vipi mkuu wana vibamiya?Tuna kataa tu lakini kuna ukweli mfano hai ninao kwa watoto wangu mwenyewe
Huyu ambaye sija mtahili naona ana kunyenge wa haja. Huyu mwingine kawaidaVip
Vipi mkuu wana vibamiya?
Kwanini mkuu?Kwa wakazi wa Mtwara wala siwalaumu