Kutahiriwa utotoni na Kibamia

Kutahiriwa utotoni na Kibamia

Wanahitaji elimu hao. Hasa hapo wanaposema usimuingilie mkeo hadi dogo apone.
 
Jamii za watu wanaochelewa kutahiri watoto wao ni mara chache sana kusikia watu kutoka jamii hizo wakilalamika vibamia e.g wakurya, masai, wasukuma nk ukilinganisha na zile jamii zinazowahi kutahiri...! Hivyo tafakari na chukua hatua
Kuchelewa ni relative term..... Labda ungetoa range ya miaka..... Ingetusaidia sie wananchi wa kawaida.
 
swala la kumtahiri mtoto mdogo n Kweli badae lazima awe na kibamia hilo nakuhakikishia n Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom