Kutairiwa mtu wa miaka 50

Kutairiwa mtu wa miaka 50

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Ndugu zangu naomba kujuzwa Kuna madhara yeyote ya kufanya tohara kwa mtu wa umri wa miaka 50? Kuna kikwazo chochote kwa hospitali kufanya hivyo? Kuna doctor anayeweza fanya hivyo kwa usiri ukizingatia umri huo?

Nawakilisha.
 
Ibrahim Baba wa imani alitahiriwa akiwa mtu mzima. Changamoto ni pale mnara unapopanda kidonda kinachelewa kupona.
 
Ndugu zangu naomba kujuzwa Kuna madhara yeyote ya kufanya tohara kwa mtu wa umri wa miaka 50? Kuna kikwazo chochote kwa hospitali kufanya hivyo? Kuna doctor anayeweza fanya hivyo kwa usiri ukizingatia umri huo? Nawakilisha
Hakuna siri ya watu wawili.

Ukipata huduma hiyo hudumiwa, achana na mambo ya kuzingatia usiri.

Bila shaka huo usiri unaoutaka ndio uliokufikisha hapo kwa kuhofia aibu ingali ulipokuwa na umri wa kawaida.
 
Looh!! Ulivyowahi kujibu utadhani una mnara na um-experience [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo ni mtaalamu wa masuala ya afya, usishangae kuhusu hilo jibu
 
Huyo ni mtaalamu wa masuala ya afya, usishangae kuhusu hilo jibu
Natambua sana mkuu ndiyo maana nikaweka emoji za kucheka. Nimeshasoma michango yake mingi inayohusiana na maswala ya afya. [emoji120]
 
Kwani Mungu kukuumba nayo hiyo alifanya makosa??? Zingne zilikuwa tamaduni za watu wengine huko ili kutojihangaisha kusafisha kila mara hiyo kitu. Ila Mungu fundi asikosolewe bana😅, mbona wale wengine wakichonga pua au kubadili viungo mnawakosoa sana eti Mungu hakosolewi. Mnataka kusema Mungu aliona amekosea kuweka hiyo kofia ya kichwa hivyo akatoa agizo kwa wanadamu kuitoa hiyo kofia🤔🤔🤔,
Ni mtazamo tu siyo kila kitu ni kusupport!
Its over till the over🏌️
 
Back
Top Bottom