Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kila la kheri Rais wetu mtarajiwa. Mwenyezi Mungu akujalie utimize ndito zakoNikiwa Rais kutajengwa hospitali kubwa za kisasa zisizopungua nane (8)
Zitakuwa na sifa zifuatazo;-
Mikoa itakayojengwa
- 7t MRI machine number @4 kwa kila hospital kuanzia na baadae zitaongezeka kulingana na mahitaki
- Ct scan number @12 na zitaongezeka kulingana mahitaji ya hospotali
- Radiotherapy facilities (carbon-ion/proton facility)
- Icu kubwa inayoweza kubeba wagonjwa 100 na itakuwa na uwezo wa kuongezeka na kufikia wagonjwa 300
- Laboratory kubwa za kisasa nne na baadae zitaongezeka kama mahitaji yakiongezeka
- Fumigation itakuwa ya kiwango cha juu sana kwenye campus ya hospitali kutakuwa hakuna mbu, mende, kunguni na panya
- Mfumo wa maji unaojitegemea hautetegemea mamlaka za maji
- Standby generator kubwa sana incase of power outage
- Kiwanja cha ndege
- Gym kubwa za kisasa kwa ajili ya wagonjwa
- Hakutakuwa na vumbi ndani ya campus ya hospital kutakuwa na paving na lami
- Zitakuwa mbali na mji sehemu yenye utulivu
- Zitakuwa na presidential suits
- Zitakuwa na vitanda elfu 5 vya wagonjwa vya kisasa
Hospital kubwa za zamani kama muhimbili, kcmc, bugando n.k zitafanyiwa maboresho makubwa sana
- Katavi
- Songea
- Lindi
- Morogoro
- Singida
- Biharamulo
- Sinyanga
- Mbeya
View attachment 3376603
Biharamulo ni mkoa?Nikiwa Rais kutajengwa hospitali kubwa za kisasa zisizopungua nane (8)

Sio mkoa ila pako Centre nzuri kwa mikoa ya kuleBiharamulo ni mkoa?
Nina kuhakikishia ntakua Rais wa Tanzania na kwa wewe kukoment unakua sehemu ya kuandika historia mpya ya TanzaniaUna mawazo mazuri sana. Na kuna vitu unavisema humu ina onesha uko kwenye kada ya afya. Tatizo ni moja tu hapo, mbele ya wahuni wa nchi hii, wewe kutoboa mpaka uwe Rais wa Jamhuri hii tutasubili sana. All in all big up.