Kutaka madaraka ya kuwa mkuu wa chuo kiuu angali huna sifa sifa..je ni haki

nkambi

Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Waungwana nisaidieni ,....hili lnakuwa sasa..sasa tuna Drs WENGI, Prof WENGI..Lakini mtu anakurupuka kutaka kuwa bosi tena mtu mzito kwenye taasisi tena kubwa chuo kikuu ..anagali ana Masters tu..imefikia watu wanaenda hadi kwa waganga ..kisa kuwa na cheo....jamani..tuna wasomi wengi dRS , Profs...Hebu tuwape heshima na nafasi ya kuongoza vyuo vikuu hivi ..mambo ya kuwa na mabosi woga , vihiyo nk kumepitwa na wakati..wenzetu wamepiga hatua kwa kuwa wamewahi soma..wana profs and drs wenye umhair wanafanya tafiti na kusaidia serikali...nawashauri hawa ambao hawana sifa na wanataka vyeo vyuo vikuu wakasome..wakirudi watapata tu by merits
 
sijaelewa shida yako nini hasa mbona unachosha watu jamani JF sio facebook sawa?
 
Back
Top Bottom