Kutamalaki kwa Hekima: Serikali ijibu vipi Marekani na kwanini? Mtego wa Ikulu

Wewe ni mpumbavu sana Bashite ni MTU mdogo sana kwenye Nchi hii jiwe akimtaka ampeke kwake akafanye kazi za home Nchi ina madhila mengi sio tuumize Nchi sababu ya mtu mmoja
The best way to handle this ni kwa serikali kuiomba Marekani kutoa ushahidi kuhusu tuhuma dhidi ya makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Naiona Zanzibar huru ileeeeeeeeeeeeeee INANUKIA 😍😍😍😍
 
-Hao akina Pempeo hamna kitu wanatafuta kura mwezi nov mwaka huu. Walijaribu kutafuta kura kwa Soleiman wa Iran, Iran wakawatuliza mara moja, hawaku score points yoyote.
-Hao akina Pempeo wameona Magufuli kumbe wanaweza negotiate naye ktk interests zao, na ili aende ktk negotiating table lazima wa mpush na ku trigger kama hivyo. Hapo wanamtaka Magufuli akae nao chini kuwahakikishia masilahi yao, kama tukitaka kuipiga Iran utatoa wanajeshi kutuunga something like that.
 
Kesho saa tatu asubuhi kuna kuapishwa kwa watu pale ikulu, nadhani kuna fursa ya mkuu kabisa kuhutubia na kutema nyongo.
 
Yataendelea mpaka yesu atakaporudi,hutaki unaacha

Sent using Jamii Forums mobile app

Uongozi wa jiwe ni wa karne iliyopita enzi za kuwapaka wazungu matope, kwani ilikuwa ni saikolojia ya kuwaongoza watu kutoka kwenye makucha ya wazungu. Hizi sio enzi za kina Bokasa, Mobotu nk. Hana uwezo wowote wa kupeleka watu kwa utashi wake kwani tuko wengi hatuamini anayoamini yeye, na tuna uelewa mpana wa mambo kuliko yeye. Lakini kwakuwa ana mitazamo ya karne iliyopita ndio maana ana amini ana akili kuliko sisi wote anaotuongoza. Akae pembeni, kama anataka mauji avae gwanda ajiunge na jeshi tumpeleke hapo DRC akaendeshe huo ushetani wake.
 
Hakuna cha hekima hapa wakat wa kuvuna umefika hakuna cha kupepesa macho
 
Kesho saa tatu asubuhi kuna kuapishwa kwa watu pale ikulu, nadhani kuna fursa ya mkuu kabisa kuhutubia na kutema nyongo.

Safari hii nyongo atakayoitema ataimeza taka asitake, ameshajaa fresh kwenye 18 ya wenye maamuzi ya dunia.
 
Ni hivi ulichoandika.ni pumba,wazungu wasipotumia formula ya divide and rule dunia itakua ni sehemu salama sana kuishi,kifupi wazungu ni mababylon tu,hakuna zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi ulichoandika.ni pumba,wazungu wasipotumia formula ya divide and rule dunia itakua ni sehemu salama sana kuishi,kifupi wazungu ni mababylon tu,hakuna zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Bora kuongozwa na hao mababylon maana hawa washamba wenzetu hawajitambui. Huu sio muda wa kiongozi kutuongoza kwa utashi wake, maana sisi sio familia yake. Aheshimu chaguzi, na afahamu kwenye mfumo wa vyama vingi kukosolewa ndio kanuni namba moja ya uongozi. Hawezi akae pembeni, maana tuna akili timamu na tunaona hao wazungu wanachohoji kiko wazi maana ni kilio chetu cha muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…