Kutamalaki kwa Hekima: Serikali ijibu vipi Marekani na kwanini? Mtego wa Ikulu

Rais Buhari wa Nigeria kamteua waziri maalumu kushughulikia hili, nasie tuteue mjumbe maalum ashughulikie hili mie nampendekeza Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Dr Mahiga, pia takukuru wapewe hukumu na kufuatilia taarifa hao USA wanazosema Wana uhakika nazo ili wazipate na kuzifanyia kazi.

Pia rais amteue rais mstaafu wa Africa ya kusini bwana Jacob Zuma waungane na jk kutafuta suluhu ya kudumu
 
Kabudi kazoea kusoma slides kwenye halls za Mlimani,hiyo Diplomasia ya kutatua mgogoro kama huu ataitoa wapi?

Kila mtu anapoongea nae anajisahau anadhani yupo darasani anafundisha..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao majaji watatoka wapi? Kwa hawa wateule wa mkuu sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Makonda anaweza kuzuia haki ya Mtanzania yoyote ya kuishi bila kutumia organs zingine???. Nadhani Wamarekani wanatuambia tu kuwa ujinga wenu watawala mnao fanya tunaujua....

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza kuwa na kundi la kufanya hujuma kwa wati wengine lkn wasichunguzwe na vyombo vya dola. Chukulia mfano wa uvamizi wa clouds media, Nape kama waziri wa habari aliunda tume, na ikaja na mapendekezo. Unajua kilichofuata?

Kabla hajaipeleka taarifa ya tume kwa Rais akatangazwa sio waziri tena na akazuia kuzungumza na vyombo vya habari na kutishiwa kupigwa risasi mchana kweupe.

Leo hii akina mwana kijiji wa praise team wamesahau haya yote wanaanza kusingizia Zitto, Lissu, Fatuma, Maria eti wameifitinisha Tanzania na makonda in particular kwa Marekani. Mmesahau mapema kuwa mambo yenu tangu 2016 yanachunguzwa, yamehifadhiwa na yanafahamika.

Tusijifiche kwenye harakati za ushoga, serikali ya Trump haikubaliani na ushoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…