Kutamani Kungonoka kila Dakika, Je, huu ni Ugonjwa?

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,155
Reaction score
35,683
Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa.
 
Hiyo ni mojawapo ya dalili za kuambukizwa HIV/AIDS - better uende hospital upime na uanze dozi mapema...!
 
Nimepima vipimo vyote unavyovijua na usivyovijua,majibu yamekuja niko safi.
 
Pole sana, lakini ulikosea sana kuanza kutumia dawa hizo bila kuonana na daktari halisi,

Nakushauri kama upo Dar nenda Muhimbili Hospital tatizo lako litatibika tu,

NB Kama halitatibika inabidi utafute haraka mpenzi na uolewe kama bado hujaolewa,

Pole sana dada yangu!
 
Sijajua content ya hivyo vidonge, so siwezi kuviongelea kuwa ndiyo sababu, japo inawezekana.

Isipokua, kisaikolojia, ngono ni self rewarding, hivyo ukipata leo basi lazima utajitahidi upate na kesho. And the more you get it, unajikuta unahitaji zaidi.

Sasa badiliko la uhitaji wa awali linaweza kuwa limetokana na dawa hizo ama mfumo wa kawaida wa mwili, ila muendelezo wake hadi sasa unaweza kuwa ni saikolojia kutokana na namna ulivyolitatua tatizo wakati linaanza.
Naamini umeelewa.
 
Na ikishindikana yote nitafute mie, nitajitolea kukutibu kwa kila siku angalau mara tatu!

Pole sana dada yangu!
....Mmhhh
 
Asante sana ndugu yangu Yericko Nyerere.
Kumbuka ndugu yako alikataa kunioa.
Anyway,kusema ule ukweli ni kwamba niliwahi kupata ugonjwa unaofanana na huu,nilijaribu kwenda Hospitali ya Muhimbili na tatizo halikuisha, sasa sijui tiba ilidunda au vp!
 
Last edited by a moderator:
mkemwenza sio baada ya kuachwa na king hao uliowapata wanacheza makidamakida .....pole mwaya
cc Ben saa nane
 
Last edited by a moderator:
Pole sana, lakini ulikosea sana kuanza kutumia dawa hizo bila kuonana na daktari halisi,

Nakushauri kama upo Dar nenda Muhimbili Hospital tatizo lako litatibika tu,

NB Kama halitatibika inabidi utafute haraka mpenzi na uolewe kama bado hujaolewa,

Na ikishindikana yote nitafute mie, nitajitolea kukutibu kwa kila siku angalau mara tatu!

Pole sana dada yangu!
. Ha Ha ha! Wee Kaka Shkamoo! Lol! Yaani suluhisho lako limelenga maeneo yote.
 
Sijajua content ya hivyo vidonge, so siwezi kuviongelea kuwa ndiyo sababu, japo inawezekana.

Isipokua, kisaikolojia, ngono ni self rewarding, hivyo ukipata leo basi lazima utajitahidi upate na kesho. And the more you get it, unajikuta unahitaji zaidi.

Sasa badiliko la uhitaji wa awali linaweza kuwa limetokana na dawa hizo ama mfumo wa kawaida wa mwili, ila muendelezo wake hadi sasa unaweza kuwa ni saikolojia kutokana na namna ulivyolitatua tatizo wakati linaanza.
Naamini umeelewa.

Mkuu Bob Lee Swagger, ni kweli kuwa chanzo cha tatizo ni hivo vidonge tu.
Kwa maana nilipoanza hyo dozi, matiti yalianza kuvuta (kwa wanawake wanaonyonyesha wamenielewa) na kuuma.
Nilidhani ni hali ya kawaida.
Ila niliona ni mbaya zaidi baada ya kujisikia hamu ya kukutana kimwili kila asubuhi ninapomeza hii dawa.
Tatizo lilipozidi ilibidi nisitishe dozi ila ndio nilikuwa nimechelewa kwani tatizo lilikuwa kubwa na mpaka leo imepita miaka mitatu na tatizo bado ninalo.
 
Last edited by a moderator:
@ Madam B hii simple nitafute nikupe dawa,wewe ni PM tu nina dawa yake
 
Back
Top Bottom