....MmhhhPole sana, lakini ulikosea sana kuanza kutumia dawa hizo bila kuonana na daktari halisi,
Nakushauri kama upo Dar nenda Muhimbili Hospital tatizo lako litatibika tu,
NB Kama halitatibika inabidi utafute haraka mpenzi na uolewe kama bado hujaolewa,
Na ikishindikana yote nitafute mie, nitajitolea kukutibu kwa kila siku angalau mara tatu!
Pole sana dada yangu!
Pole sana, lakini ulikosea sana kuanza kutumia dawa hizo bila kuonana na daktari halisi,
Nakushauri kama upo Dar nenda Muhimbili Hospital tatizo lako litatibika tu,
NB Kama halitatibika inabidi utafute haraka mpenzi na uolewe kama bado hujaolewa,
Na ikishindikana yote nitafute mie, nitajitolea kukutibu kwa kila siku angalau mara tatu!
Pole sana dada yangu!
. Ha Ha ha! Wee Kaka Shkamoo! Lol! Yaani suluhisho lako limelenga maeneo yote.Pole sana, lakini ulikosea sana kuanza kutumia dawa hizo bila kuonana na daktari halisi,
Nakushauri kama upo Dar nenda Muhimbili Hospital tatizo lako litatibika tu,
NB Kama halitatibika inabidi utafute haraka mpenzi na uolewe kama bado hujaolewa,
Na ikishindikana yote nitafute mie, nitajitolea kukutibu kwa kila siku angalau mara tatu!
Pole sana dada yangu!
Sijajua content ya hivyo vidonge, so siwezi kuviongelea kuwa ndiyo sababu, japo inawezekana.
Isipokua, kisaikolojia, ngono ni self rewarding, hivyo ukipata leo basi lazima utajitahidi upate na kesho. And the more you get it, unajikuta unahitaji zaidi.
Sasa badiliko la uhitaji wa awali linaweza kuwa limetokana na dawa hizo ama mfumo wa kawaida wa mwili, ila muendelezo wake hadi sasa unaweza kuwa ni saikolojia kutokana na namna ulivyolitatua tatizo wakati linaanza.
Naamini umeelewa.