Kutambulisha watoto kwa boyfriend/girlfriend mpya

Kutambulisha watoto kwa boyfriend/girlfriend mpya

RR,

Mie nimeishia kushangaa na kujiuliza mambo ambayo labda ni ya kizamani kama mimi...
Na pia inawezekana kwa sababu tunatoka katika mazingira na makuzi tofauti, ndo maana vitu vingine vinaonekana havijavuka mpaka!

Yaani kutendo cha kufikiri tu kwamba siku moja, dume jingine lije licheze na watoto wangu (ambao nimeaminishwa na mama yao kuwa ni wangu) kabla sijatumiwa salamu za R.I.P, nahisi uchungu sana!

Anyway, najua hii haiwezi kutokea mbele ya macho yangu nikiwa mzima wa akili na mwili!!

Babu DC!!

Babu DC,naweza sema umri ni tiba haswa katika mambo kama haya lakini inaelekea pamoja na kula chumvi nyingi,kusema hili unalishangaa na kuwa haiwezi kutokea mbele ya macho yako ukiwa mzima wa akili na mwili "is beyond me".Mimi ni sio babu lakini ni kijana wa 80's,you know what i mean,haya siyo ya kuhadithiwa bali yamenikuta,tena hapa hapa nyumbani with the first world exposure though.
Kwa hiyo yapo na yanatukuta binadamu na watz in general.Cha msingi babu tuombe mungu yasikupitie moyoni mwako na tusali kila siku ili ndoa zetu zisiingiwe na mauzauza haya.
Ubarikiwe sana babu DC
 
Ahsante sana Kikungu,

Sikuwa na maana kwamba ndoa yangu ina immunity ya aina yoyote na kwa hiyo haiwezi kukumbwa na mafuriko yanayoweza kuifanya kusambaratika. Hilo linawezekana sana na hakuna ubishi...bila kujali umri wa ndoa!

Ila kama hayo yakitokea na maadam mie nina akili timamu, basi watoto wangu nitawalea mwenyewe....

Hakuna uwezekano wowote wa kuacha watoto wangu walelewe na baba mwingine (after all ni wakubwa kiasi kwamba hata mahakama inaruhusu waishi na baba yao)!!!

Ndo maana naseme, ....no way this can happen to my own kids while alive and in sound mental state!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Huyu jamaa inaonekana ni mjanja sana...

Huyu mama aombe Mungu tu vinginevyo tunaweza kusikia habari zisizofurahisha.

Mwanamume yeyote mjanja anajua kuwa kwa kujipendekeza kwa watoto, na wakikukubalia basi umemmaliza mama...Ni kama umemnywesha piriton!!

Babu DC!!!

Babu DC wanadai huyu toyboy anawaendesha watoto wakati ana historia ya motoring offences. He has had numerous run-ins with the law over the past seven years for motoring misdemeanours. While the majority have been for speeding or driving without a valid licence, and failing to show up in court, the young dancer was caught drag racing in 2010 driving a motorbike at over 100mph, which could potentially land him behind bars.

The dancer pled no contest to the charge in March after an initial not guilty plea. His bail was set at $26,000 - and he is yet to be sentenced, according to the court records. The toyboy was due in court to be sentenced on January 5, 2012 and was likely face jail time as well as a stiff fine. According to California law upon conviction he could be 'punished by imprisonment in a county jail for not more than 90 days, by a fine of not more than five hundred dollars ($500), or by both that fine and imprisonment.'

Mtu mwenye background kama hii utapenda kweli awe anawa-drive watoto wako?
 
Kaka,

Awe na rekodi nzuri kama ya malaika au mbaya kama ya shetani..watoto wangu ningependa niwalee mwenyewe. Labda kama mwenyezi Mungu akiamua kuikatisha nadhiri yangu!!

Vinginevyo haya ni maisha ambayo kwa upande wangu hayana tofauti na sinema za akina Rambo!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mmmh, kama kule kwetu
wangepiga mbiu, na mkutano wa kijiji ukaitishwa.

Amewabemenda watoto akili.
Afu huyu kijana anamchezeshwa mtoto huku kaptura yake ikituna hapo mbele!!!!
We nae!
Jamaa ni maumbile yake bana!...huoni kuwa hata akivaa jeans ni hivohivo?
 
Ni sawa hasa kama mwanamke anataka watoto wake wasifeel mapungufu ya kutokuwepo kwa baba yao.
 
Nadhani ni kila mtu kuamua kutokana na uwezo wake wa kuhandle consequences.
Kwa upande wa watoto nadhani you should only introduce them to somebody if you are sure he is there to stay. Vingine wataamini kua wanaume come and go, like their father, like the dancer, and like anyone else who will come in mama's life. But maybe she knows how to handle that...

And at that age............masikini watoto hawa!
 
...hii ndio bakora tunayotandikwa nayo wanaume wengi baada ya divorce!... acha tu...
inabidi uwe mpole kwa "mume mwenzio," otherwise unaweza poteza hata mapenzi ya watoto pia.
 
...hii ndio bakora tunayotandikwa nayo wanaume wengi baada ya divorce!... acha tu...
inabidi uwe mpole kwa "mume mwenzio," otherwise unaweza poteza hata mapenzi ya watoto pia.

Mbu we acha tu yaani haya mambo niliyaona Ulaya mpaka wanaume wa Uingereza ambao wako Divorced wakaunda chama cha kutetea haki zao zidi ya wanawake.Yaani unawekewa condition ya kwenda kuwaona watoto wako nyumbani kwa ex wako,kama masaa mawili basi ni wawili au kama unamchukua basi mnakutana kwenye public places kama kwenye park na unamchukua mtoto wako.Tanzania nayo imekuja hiyo,sheria ya haki za watoto ya 2009 inataka watoto wakae na mama yao mpaka wafikishe umri wa kutokuwa Minors,ila sasa kwa case yetu bongo uchumi unampa favor mwanaume lakini kwa mwanamke asiyejua sheria hii kwani wewe mwanaume kisheria unatakiwa utoe matunzo kwa watoto wakiwa kwa mama yao.We are always the best losesr on this whatever the case.
My take,Let leads the way for protect our marriages,try your level best na muombe sana mungu akusaidia
Mbarikiwe sana
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom