Kutana live na Bujibuji Kawe

Kutana live na Bujibuji Kawe

Babuuu.....

Nna kiwi na weweeee.....

Njoo basiiii, aaiii weeeweeeee.....

Usiissuuuseeeeee..... 😊

Kama nakuona vile na kiu yako...

1598951992794.png
 
Shuubaaaamiiiit

Kufaaanaaaaleeeeekkkk

Kuuudaadaadaaddeeeekkkk

Mbio hazina breeekkkk

Malabuku zako zooteeee wee babuuu bangeee saanaaaa 🀣🀣🀣🀣🀣
Nisamehe Kasie Mtata

Naenda kudelete nisijelambwa ban nikakumisi bure
 
Nipo hapa tunakula vitu vyetu
Unaenda kwenye kampeni uchwara za kusikiliza Umbea wa wanasiasa uwape kula tafuta hela mzee Acha ujinga View attachment 1551734
Siwaelewag watu wanaokunywa bia..hiv bia ina stimu kweli...mim bila kilev chenye 35 kwenda juu siwez kunywa hyo kinywaj..bora nijue tu nakunywa maji ua juice
 
Nisamehe Kasie Mtata

Naenda kudelete nisijelambwa ban nikakumisi bure

Ukiombaga msamaha unazidi kuwa mhandsome......πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Halafu huishi utamu kama jojoo, ila sina hakika kama umefikia sukari ya Watu8 πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
 
Siwaelewag watu wanaokunywa bia..hiv bia ina stimu kweli...mim bila kilev chenye 35 kwenda juu siwez kunywa hyo kinywaj..bora nijue tu nakunywa maji ua juice
Bia ni matumizi mabaya ya fedha

Kuitendea haki fedha unatakiwa upambane na haya makitu
1598953087033.png
 
Ukiombaga msamaha unazidi kuwa mhandsome......πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Halafu huishi utamu kama jojoo, ila sina hakika kama umefikia sukari ya Watu8 πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
1598953439911.png
 
Back
Top Bottom