Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Jamani naombeni msaaada kwa anayejua 3D floor material kwa mwanza naweza kupata nahitaji kuweka kwenye nyumba yangu likizo hii

Muonekano uwe wa Tofauti voend Tiles kabisa wala hata kuzisikia tuView attachment 1285090
 
Hiyo wanatumia kitu kinaitwa epoxy resin na hardener chini wanaweka picha kea mwanza sijui ila kwa dar kuna watu wanafanya hiyo kazi mpaka mkoani
Jamani naombeni msaaada kwa anayejua 3D floor material kwa mwanza naweza kupata nahitaji kuweka kwenye nyumba yangu likizo hii

Muonekano uwe wa Tofauti voend Tiles kabisa wala hata kuzisikia tuView attachment 1285090View attachment 1285091
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…