Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Habari zenu wadau?..... Kwa wale wajuv, naomba kujua juu ya mchakato kabla ya kuanza ujenzi, je ni lazima kufuatilia kibal cha ujenzi ofisi za ardhi? Je ili kupata hcho kibal kuna gharama za kulipia? Zip?...... Kama si lazima bas ipi njia salama ktk mchakato (kujenga) kuepuka kubomolewa.......,.... Eneo lenyewe ni jpya watu ndio wanaingia kujenga na viwanja vng havijapmwa including lang........ Ur opinion plz/tafadhal
 
Kama eneo halijapimwa we Jenga tu. Ila waone Kwanza serikali ya mtaa wakupe kibali Cha kuendeleza eneo
 
Kuhusu kibali cha ujenzi.
Kama eneo lako lina hati nenda wilayani kitengo cha engineering ukiwa na ramani,hati miliki na site plan. Ila kama hayo maeneo hayajapimwa hakuna kibali . we jenga tu
Anaweza kujenga jengo LA gorofa hapo bila building permit
 
Back
Top Bottom