Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Naomba Ramani nzuri ya Guest House/Lodge ya vyumba nane vyote self contain nipe na makadilio ya ghalama zote mpka finishing
Ili tuweze kufanya kazi
 
Serikali za mitaa/Mwenyekiti wa mtaa ndio anahusika hapo.
 
Hivi kujenga chumba kimoja na sebule kwa kutumia tofali 700 gharama za ufundi hadi kupaua ni Shangapi?
Na gharama zote za ujenzi ni kiasi gani
Vitu vinavyosaidia kujua Bei iwe kiasi gani ni Kama vifuatavyo:
1. Size/ukubwa wa nyumba au vyumba
2: landscape ya eneo. Kama tambalale au mteremko!
3: location ya site.
4. Tabia ya client. Kama mteja muungwana basi fundi nae atakuwa muungwana lkn Kama mteja jeuri fundi nae atakuwa jeuri.
Hivyo basi ili nijue labour lazima nifike site kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…