Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Sawa mkuu, pia nyumba yenye vyumba v3 na kisebure mifuko mingapi ya cement inaingia kwenye plastaUkitaka fundi asikupige, jitahidi usipunguze Sana ghalama ya ufundi aliyoomba
Endapo utapunguza Sana Bei, fundi atajiongeza kufidia pengo lililojitokeza
Chumba master kimoja kinaweza gharimu kiasi gani?
Gharama ya jengo inajulikana baada ya kufahamu ya fuatayo:Embu jibu hili swali.
HaitoshiMillion 10 inatosha kufanya finish nyuma ya vyumba sita?
Kama kiasi kitatosha nijichange mapemaHaitoshi