Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Ukitaka fundi asikupige, jitahidi usipunguze Sana ghalama ya ufundi aliyoomba
Endapo utapunguza Sana Bei, fundi atajiongeza kufidia pengo lililojitokeza
Sawa mkuu, pia nyumba yenye vyumba v3 na kisebure mifuko mingapi ya cement inaingia kwenye plasta
 
Embu jibu hili swali.
Gharama ya jengo inajulikana baada ya kufahamu ya fuatayo:

Ukubwa wa jengo / chumba.
Aina ya udongo mahala unapojenga.
Mteremko au tambalale.
Location ya site. Mf. DSM au MBEYA
Time. Lini ujenzi utaanza.
Je, hapo site material yapo jirani?
Je, atapaua kutumia bati ipi?
Dirisha aina gani ataweka?
Mbao gani itatumika kwenye milango?
Chooni ataweka tiles au haweki?
Je, choo Cha kukaa au kuchuchumaa?

BILA KUWA NA INFORMATION KAMA HIZI nivigumu kumpa mtu quotation.
 
Back
Top Bottom