Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
-
- #521
Gharama ya finishing inategemeana na quality ya vitu unavyotaka kutumia.Kama kiasi kitatosha nijichange mapema
Ok thanks🤝Gharama ya finishing inategemeana na quality ya vitu unavyotaka kutumia.
MFANO. Kuna mlango unaouzwa zaidi ya milioni lkn pia Kuna mlango unaouzwa chini ya laki tatu.
Sasa hapo linabaki kua chaguo la mwenyenyumba.
Picha zaidi utazipata ktk page yangu ya istagram. Fundi mahiri wa ujenziView attachment 862778
Picha zaidi utazipata ktk page yangu ya istagram. Fundi mahiri wa ujenziView attachment 862778