Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #521
Gharama ya finishing inategemeana na quality ya vitu unavyotaka kutumia.Kama kiasi kitatosha nijichange mapema
MFANO. Kuna mlango unaouzwa zaidi ya milioni lkn pia Kuna mlango unaouzwa chini ya laki tatu.
Sasa hapo linabaki kua chaguo la mwenyenyumba.