Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba



Weka picha za nyumba ulizokwisha jenga ama kurekebisha tuone umahiri wako.
 
Mkuu naomba kuuliza, ni tiles gani bora kati ya zile za india na hizi za china?. Kwa utaalam wako unamshauri mtu kutumia za wapi?
 
Sorry mkuu naweza kupata kazi ya kibarua kwenye ujenzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…