antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mkuu, ebu weka range ya makadirio ya bei kama nyumba y a 3 rooms, 1 master, etc, eneo tambarare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unataka Nyumba ya maana boma itakucost tshs 14 to 15m.Mkuu, ebu weka range ya makadirio ya bei kama nyumba y a 3 rooms, 1 master, etc, eneo tambarare
Swali lako halikukamilika.Ha ha haa... Mkuu, nimeuliza bei ya nyumba, unanipa ya boma. Hufanyi turn key?
Swali lako halikukamilika.
Baada ya boma gharama ya Nyumba inategemeana na aina ya material utakayo tumia.
Mfano Mdogo ni kuezeka, Nyumba kama hiyo kunamtu anaweza kuezeka kwa zaidi ya 25m wakati MTU mwingine katumia 7m.
Ili kujua gharama halisi inabidi mteja akupe specification za material anayotaka.
Hivyo basis inaweza kuwa kati ya 50m - 180m.
Siku nyingine usirudie kucheka kwa dharau jambo usilolijua.
😱😱😱Ok.. Asante kwa hyo taarifa ya range yagharama.
Kuhusu kicheko, na ww usirudie kuchekesha!
Nyie jamaa wote mnachekesha sasa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ok.. Asante kwa hyo taarifa ya range yagharama.
Kuhusu kicheko, na ww usirudie kuchekesha!
IPI hiyo?Hii kitu unaweza kuwa na ramani yake na ina vyumba vingapi
Hii hapa na ina vyumba vingapi