Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba kuuliza, ni tiles gani bora kati ya zile za india na hizi za china?. Kwa utaalam wako unamshauri mtu kutumia za wapi?
0655173113Naomba namba yako ya WhatsApp nahitaji tuongeee
Kumekucha
Nimependa kazi yako,naomba niulize swali 'slab' ya jengo lenye ukubwa wa 10m x 15m zinaweza kuingia nondo ngapi?
Slab na beam almost nondo 215picNimependa kazi yako,naomba niulize swali 'slab' ya jengo lenye ukubwa wa 10m x 15m zinaweza kuingia nondo ngapi?
Na zinaachana kwa cm ngapi?Slab na beam almost nondo 215pic