Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #101
16cmNa zinaachana kwa cm ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
16cmNa zinaachana kwa cm ngapi?
Poa,ili kupunguza garama za pleti au 'marine board' unashauri nitumie nini16cm
Aina gani ya mkopo, labour au labour + materialsHongera Mkuu. Unaweza jenga kwa mkopo nikawa nakulipa kila mwezi kidogo kidogo
Kodi marine boardPoa,ili kupunguza garama za pleti au 'marine board' unashauri nitumie nini
Garama zako zikojeKodi marine board
Unamaanisha gharama za kukodi?Garama zako zikoje
ufundiUnamaanisha gharama za kukodi?
Ni slab tu?ufundi
NdioNi slab tu?
Ningeomba nione jengo kwanza.Ndio
Sijachukua picha,ila ukubwa ni 10 x 15,nguzo 22,urefu toka sakafuni hadi juu matofari 17 (yaliyolazwa)Ningeomba nione jengo kwanza.
Iko wapi?Sijachukua picha,ila ukubwa ni 10 x 15,nguzo 22,urefu toka sakafuni hadi juu matofari 17 (yaliyolazwa)
ArushaIko wapi?
Gharama nitakayokupa itahusisha activities zote za slab, including plumbing na wiring.Sijachukua picha,ila ukubwa ni 10 x 15,nguzo 22,urefu toka sakafuni hadi juu matofari 17 (yaliyolazwa)
Umeme na mabomba isubiri kwanzaGharama nitakayokupa itahusisha activities zote za slab, including plumbing na wiring.
Huwezi kumwaga slab bila ya vitu hivyo kufanyika.Umeme na mabomba isubiri kwanza
zitawekwa na fundi mwingine baada ya wewe kusuka nondoHuwezi kumwaga slab bila ya vitu hivyo kufanyika.