Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

IMG_20181127_184954_980.jpg
IMG_20181127_184954_980.jpg
IMG_20181127_184954_980.jpg
 
Nipo kwenye mchakato wa kutaka kujenga apartment za nzuri na bora lakini kwa bei nafuu. Ziwe stadard zinazoweza kukaliwa na watu wenye kipato cha kati. Nataka kujua round figure ya gharama zake kwa apartment za vyumba viwili na vilevile vitatu. Vyumba viwili kuwe na master moja, living room, dining, kitchen/small store, public toilet. Nafahamu kuwa ukijenga kwa kuunganisha kama ni nyingi gharama inashuka, sasa nifanyie wastani wa gharama ya kujenga apartment 12 za vyumba viwili zilizojengwa kama nyumba moja kwa design ambayo wewe unaijua. Then angalia gharama ya apartment 4 za vyumba vitatu ikijengwa pamoja na apartments 6 zenye vymba viwili. Just provide me with an average cost of the complete apartment which includes all costs of construction materials plus labour, nyumba iliyo tayari kutumika. Thanks
project nzuri sana hii kama utafanikisha mkuu
 
mkuu nipe kazi ya kukuandalia michoro pamoja na Bill of Quantity kitaalam ili hata ukitaka kuomba permit au kusajili mradi iwe rahisi
Nipo kwenye mchakato wa kutaka kujenga apartment za nzuri na bora lakini kwa bei nafuu. Ziwe stadard zinazoweza kukaliwa na watu wenye kipato cha kati. Nataka kujua round figure ya gharama zake kwa apartment za vyumba viwili na vilevile vitatu. Vyumba viwili kuwe na master moja, living room, dining, kitchen/small store, public toilet. Nafahamu kuwa ukijenga kwa kuunganisha kama ni nyingi gharama inashuka, sasa nifanyie wastani wa gharama ya kujenga apartment 12 za vyumba viwili zilizojengwa kama nyumba moja kwa design ambayo wewe unaijua. Then angalia gharama ya apartment 4 za vyumba vitatu ikijengwa pamoja na apartments 6 zenye vymba viwili. Just provide me with an average cost of the complete apartment which includes all costs of construction materials plus labour, nyumba iliyo tayari kutumika. Thanks
 
Kwema mkuu naomba kuuliza maswali mawili!!kwanza nyumba ya vyumba v3 jiko sebule na master na choo cha public foundation yke inaweza nikost kama sh ngapi Kiwanja ni tambalale kiko kigamboni kisarawe 2.Pili kama Kiwanja kiko eneo linaonekana linatuamisha jpo hakuna mkondo Wa Maji unaopita kuna usalama katika ujenzi nikimaanisha kuna kitu unaweza kufanya ili kusiwe na shida hapo baadae..pia naomba kujua kibali cha ujenzi kinahitaji sh ngapi..!
hili swali fundi hawezi kukujibu kwa ufasaha ,hapo anatakiwa architect au civil engineer kwa msaada za nakukaribisha .
fundi kazi yake kujenga kwa maelekzezo ya mtaalamu
 
Back
Top Bottom