Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

hili swali fundi hawezi kukujibu kwa ufasaha ,hapo anatakiwa architect au civil engineer kwa msaada za nakukaribisha .
fundi kazi yake kujenga kwa maelekzezo ya mtaalamu
Sasa c ungemjibu tu mkuu
 
NAOMBA MAKADIRIO NAHITAJI KUJENGA GUEST HOUSE NZURI YA VYUMBA VI-4, BUNJU
 
Mjengo km huo huo mpk finishing approximately ni shiling ngp fundi?
 
Mkuu itakuwa vyema tukipata mchoro kwanza, hapo tunaweza pata gharama halisi.
Ukihitaji mchoro tunaweza ongea pia
Mkuu nina swali.

Kuna upigaji wa bati unaotumika siku hizi ambapo unakuta bati inapigwa na kufunika kila mahali hata sehemu za ventilations juu haziachwi, wala kwenye eaves kunakuwa hakuna vents. Na mara nyingi inatokea endapo style ya nyumba haina ukuta uliopanda juu sana baada ya zile tofali baada ya lintel.

Nini madhara kwa nyumba hasa joto/nyumba kishindwa kupumua. Na vipi kuhusu hali ya joto kuwa kali ndani?
 
Back
Top Bottom