Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Wewe sio fundi ila ni dalali. Unachofanya ni kutafuta mafundi na kuwasimamia huku ukilipwa pesa nyingi na kuwapa kidogo hao mafundi unaowaleta.
 
Wewe sio fundi ila ni dalali. Unachofanya ni kutafuta mafundi na kuwasimamia huku ukilipwa pesa nyingi na kuwapa kidogo hao mafundi unaowaleta.
Ewaaa,
Sahihi kabisa.

Nilimuita nikampa kazi. Nilimuona siku ya kwanza na ya mwisho wakati wa kuchukua hela tu.

Kwa kipindi chote Cha ujenzi zimekuja batch kama nne hivi tofauti. Yaani wanakuja Hawa Leo, kesho au keshokutwa hawarudi wanakuja wengine, amenipa hasara ya kubomoa nyumba na kuijenga upya. Maana nyumba ilikua dhaifu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…