Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

IMG_20230222_180335.jpg
 
Boss nikuambie tu ukweli,
Wewe unaweza kua ni fundi mzuri ila shida yako ni moja tu, HAUSHINDI SAITI. Labda sababu una kazi nyingi hivyo unashindwa kujigawa lakini tatizo la wewe kama wewe kutokushinda saiti unalo.

Sintoandika mengi sana hapa lakini jaribu kurekebisha hii hali. Usiwaamini sana vijana wako wafanye kila kitu. Boss akikuona wewe saiti anapata imani zaidi kuliko kila akija anakuta vijana tu.
Tunaomba jibu la hili bwana fundi
 
Kazi ziendelee
Picha zako za finished product ni picha bandia, za kuchora na computer, kwa nini ????

Na hata hizo halisia za katikali ya ujenzi zimekaa mshazali, kwa nini ? Ushawahi ona yale ma buku ya model houses ( ma catalogue yale) ndani kuna picha nyumba imepigwa mshazali ?? Vipi bana fundi wewe? Na mapicha yako yanaumiza macho, yako karibu sana, piga kwa mbali kidogo
 
Back
Top Bottom