Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Wakimaliza kujenga mapambo yako kwangu

SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
KARIBUNI SANA. FREE DELIVERY DAR

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
Umahiri gani huu, kila nyumba nikiiona lazima nione dirisha la bafu na choo. Kwani lazima kila nyumba iwe na dirisha la bafu na choo? Hamna namna ya kuweka central ventilation system?
Ni fundi ujenzi mahiri wa majengo ya kuishi, majengo ya biashara na majengo ya ibada. Kazi inafanywa kwa ubora wa viwango vya juu. Gharama zetu ni nafuu kulingana na uchumi wa mtanzania.

Pia, tunafanya marekebisho ya Nyumba zenye muonekano wa kizamani kuwa na muonekano wa kileo/kisasa. Kazi zinakamilika kwa wakati kwa mujibu wa makubaliano.

PIA, TUNATENGENEZA MFUMO MAJI TAKA AMBAO HAUJAZI MASHIMO YA VYOO KAMWE.
BEI ZETU NI NAFUU SANA.

Napatikana Dar es salaam. Pia, unaweza kunipata Instagram kama 'Fundi mahiri wa ujenzi'.

Mawasiliano.

0655173113
Whatsap 0655173113

Barua pepe:

paulbuildingagency@outlook.com
pmoses951@gmail.comView attachment 1853469View attachment 1771884View attachment 1771888View attachment 1771901View attachment 1774023View attachment 1774028View attachment 1774028View attachment 1774074View attachment 1774077View attachment 1786604View attachment 1792020View attachment 1792077View attachment 1797879View attachment 1899834View attachment 1899834View attachment 1940166
 
FUNDI nimependa sana reaction yako kwa wateja wako, hii inaonesha jinsi gani uko smart..

Nimependa sana kufanya kazi na wewe japo ndio naanza maisha.
Swali Langu.

Kama Eneo ni zuri tu halina mabonde, hasa kigamboni Dar es salaam.

Nyumba Ya chumba kimoja self na sebure pamoja na kajiko kadogo humo humo ndani..

Kuandaa ramani ni bei gani???
Lakini pia unaweza kuapproximate Niandae pesa kiasi gani kama kiwanja kama kipo tayari!!

Naomba msaada wako
 
Sorry mkuu naomba niwe fundi wako wa umeme kwenye hizo kaz zako nina leseni ya EWURA nmekamilika
 
IMG_20230508_183133.jpg
 
FUNDI nimependa sana reaction yako kwa wateja wako, hii inaonesha jinsi gani uko smart..

Nimependa sana kufanya kazi na wewe japo ndio naanza maisha.
Swali Langu.

Kama Eneo ni zuri tu halina mabonde, hasa kigamboni Dar es salaam.

Nyumba Ya chumba kimoja self na sebure pamoja na kajiko kadogo humo humo ndani..

Kuandaa ramani ni bei gani???
Lakini pia unaweza kuapproximate Niandae pesa kiasi gani kama kiwanja kama kipo tayari!!

Naomba msaada wako
Nitakujibu
 
Back
Top Bottom