publito
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 571
- 662
Nyumba kama hii nikitaka unijengee msingi pekee utafanya bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba kama hii nikitaka unijengee msingi pekee utafanya bei gani?
Kwa bei hiyo ni pamoja na gharama za fundi + vifaa ?Jumla tshs 5mil
NdioKwa bei hiyo ni pamoja na gharama za fundi + vifaa ?
Ndio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati unanitumia vipimo vya mita ulielewa ukubwa wake? Mm nilidhani wewe no mhindi na unataka kujenga Nyumba kama za India .
Kwa vipimo ulivyonipa Nyumba hiyo inaweza zidi ukubwa wa nusu kiwanja
ItaongezekaMimi kiwanja changu kipo kwenye mteremko
Vp bei yake yaweza kuongezeka kwa kiasi gani
Itaongezeka
Kuhusu kiasi mpaka nione slope inaukubwa gani
Karibuni
Karibuni
Karibuni
Karibu
Karibu
Karibuni
Karibuni
Karibuni