Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Unapiga rangi tu au na skimming ?? Conmix unaweza ??
 
Unapiga rangi tu au na skimming ?? Conmix unaweza ??
Habari ndg. Skimming nafanya na kupaka rangi, na sasa nimeenda hatua kidogo hiyo conmix unayosema naizalisha mwenyewe kwenye kiwanda changu, sehemu kubwa ya majengo yote hayo namepiga hiyo material, na ningumu mno kuliko hiyo conimix ambayo ni Powder form, yangu ni riquid form.
 
Hizi ni moja ya kazi zetu nakshi ya nje kuta tumetumia material ambayo tumezalisha wenyewe tunaita Rough Plaster, wengine wanaita Conmix. 0766111212
 
Safi sana. Naomba maelezo ya rangi ya ndani na nje. Texture paint
 
Ndg kwa sasa tunafanya kila kitu kwenye ujenzi kuanzia uchoraji ramani mpaka kukabidhi jengo. Na nakshi za TV walls tunazo mbalimbali.
Lakini pia tinatoa ushauri wa ni nini kifanyike kwenye hatua ya finishing na wakati gani sahihi, nani atangulie nani asubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…