Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
- Thread starter
- #261
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndoo moja inapatikana kwa kiasi gani na inaweza pakwa kwenye eneo lenye mita mraba ngapi?
Ndoo ni zile za lita 20 ila kimiminika kilichomo ni kizoto hivyo tunahesabu kwa kilo, na kilo zilizomo ni 30kg, inapaka mita za mraba 8.ndoo moja inapatikana kwa kiasi gani na inaweza pakwa kwenye eneo lenye mita mraba ngapi?
Duh,Ndoo ni zile za lita 20 ila kimiminika kilichomo ni kizoto hivyo tunahesabu kwa kilo, na kilo zilizomo ni 30kg, inapaka mita za mraba 8.
View attachment 2636324
Ndugu hii ni kama Conmix ila hii ipo kwenye ndoo.Duh,
Hii ni Conmix au drewa?
Kila moja ni bei Gani?
Ndoo moja ina uzito wa 30kg. Bei 80,000.Ndugu hii ni kama Conmix ila hii ipo kwenye ndoo.
Niite wakati wowote.Ndoo moja ina uzito wa 30kg. Bei 80,000.
Jenga nasi.Niite wakati wowote.
Na gharama za kuijengea au kuipakia hiyo ndoo moja mpaka iishie ni kias gani?Ndoo moja ina uzito wa 30kg. Bei 80,000.
Labour charge huwa mnacharge ngapi kwa interiorNdoo moja ina uzito wa 30kg. Bei 80,000.