Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
smahani mkuu waweza niasidia namba ya huyo binti wa gadna nataka anieleweshe kuhusu hiyo promotion ya eatel.
Kuna mtu kasema humu jf eti Mengi ana govi
mwanae kawa mkubwa duuh
Kipochi manyoyaπ±πππ
tuwaulize watumiaji je inalipa?
siku hizi hata bibi wa miaka 90 anapindua tu....Tayar huyo akija kwako usimuamini atakupindua te te te
siku hizi hata bibi wa miaka 90 anapindua tu....
smahani mkuu waweza niasidia namba ya huyo binti wa gadna nataka anieleweshe kuhusu hiyo promotion ya eatel.
ππππ piga huduma kwa wateja mkuu
Ha ha haa
unataka slope mzee
Khaaa ungekua ww nicngepata muhemko🚶🚶🚶🚶
Hahahaa lol
inalipa sana