Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,760
- 1,619
Mleta uzi bila shaka utakuwa na ugomvi na Gadner au umetumwa na wagomvi wake. Ila nimesikitika kumuingiza mtoto katika kadhia ambalo yeye hahusiki kabisa!!
Nawaomba sana wana JF tuache kuwaingiza watoto kwa makosa ua wazazi wao. Je, wewe ukihukumiwa kwa makosa ya Baba yako au Mama yako,utajisikiaje?
Please leave the kids aside...
Nawaomba sana wana JF tuache kuwaingiza watoto kwa makosa ua wazazi wao. Je, wewe ukihukumiwa kwa makosa ya Baba yako au Mama yako,utajisikiaje?
Please leave the kids aside...