uzi wa mwaka 2014Siungi mkono ushabiki wa kijinga kama uloletwa hapa, nijuavyo Jaydee na Gadner hawajaanza kulumbana leo, hata nyimbo wametungiana, kwa nini sasa tunaanza kumshirikisha huyo binti, kahusikaje kwenye ugonvi huo?
mbona huu uzi n wa mwaka 2014Mleta uzi bila shaka utakuwa na ugomvi na Gadner au umetumwa na wagomvi wake. Ila nimesikitika kumuingiza mtoto katika kadhia ambalo yeye hahusiki kabisa!!
Nawaomba sana wana JF tuache kuwaingiza watoto kwa makosa ua wazazi wao. Je, wewe ukihukumiwa kwa makosa ya Baba yako au Mama yako,utajisikiaje?
Please leave the kids aside...
Haijalishi ni wa mwaka gani pointi yangu mleta uzi unge deal na Gadner kama yeye na si mtoto!!mbona huu uzi n wa mwaka 2014
Tatizo watu wanadhani mabinti wakipewa mipingo wanakuwa wanaumizwa, kumbe wanapewa ile kitu roho inapenda.atajisikia kuwa kumbe bintiye naye analipa
huu uzi ulikuwa wa huyu mtoto wa gadner maana kipindi icho alikuwa anaenda klub ucku na kuzurura na watu waliomzidi umri ila baada ya tukio la juzi ndivyo watu wamenza kuchangia vitu vingine so jamaa kajitakia mwenyweHaijalishi ni wa mwaka gani pointi yangu mleta uzi unge deal na Gadner kama yeye na si mtoto!!
Wewe magomvi ya wazazi wako una adhibiwa wewe??
Ni sukari mkuu.Papuchi ni nn ?
We ndiye nn? mbona unawashwa?Unamawazo ya kitoto sana!..kwani yule binti anayetembea na gadna amekuja kukulalamikia kwa chochote? gadna anambaka yule binti?..au unataka gadna atembee na wewe?
Kwani wewe unakojozwa na nani?Gadner kasema amemkojoza JD kwa miaka 15,huyo wa kwake anakojozwa na nani?