Hahahahaha ungetaka umkojoze mkuuKama anakuwa mwanangu hadi nitajuta kuwa baba yake.
LOL!
Ndio ile rais alikataza isiingizwe ndan?Ni sukari mkuu.
Kina Ruge??.Kwani yeye hawamkojozi???
itabid kakojoleshwe...Kweli dunia imekwisha
huwezi kumtegemea mtu kumbe naye yuko hivyo
ila unavyomfanyia mtoto wa mwenzio kumbuka nawe utalizwa mzimamzima
Hivi unazo kweli wewe?kwan lazma aseme hadharani?unatuambia mkeo akija humu JF nakusema hujawahi kumkojoza utakenua tuu?peleka udwanzi huko.Kwani wewe unakojozwa na nani?
Mitanzania minafiki sana, kila mtu anakojoza mwanamke na hii nchi ni miongoni mwa nchi zenye viwango vya juu vya uzinzi duniani. Nini cha ajabu Gadner kumkojoza JD? Mnadhani walikuwa kaka na dada? Upuuzi mtupu kutanguliza mihemko kwenye ugomvi wa wapenzi badala ya kushika jembe ukalime
Hivi yule binti Gardner anayezunguka naye viwanja usiku ana tofauti na huyu binti yake? Au watu wakimfanyia hivyo binti yake atajisikiaje? View attachment 213338
Mkakojozwe
Bonge la Tren linapita teh teh .........Sijaelewa!binti huyo anatoka na Gardner?Ok,mbona nyie mnatoka na watoto wa o-level hamsemwi!!Huyo ni over 18!!Anafaa kuliwa,au?Hujawahi kusikia wembamba wa reli...!
huyu ni binti yake