Kutana na Karen, binti wa Gardner G. Habash

Kutana na Karen, binti wa Gardner G. Habash

Status
Not open for further replies.
Sijaelewa!binti huyo anatoka na Gardner?Ok,mbona nyie mnatoka na watoto wa o-level hamsemwi!!Huyo ni over 18!!Anafaa kuliwa,au?Hujawahi kusikia wembamba wa reli...!
 
Ambae hajawahi kutoka na binti alie chini ya umri wake na awe wa kwanza kumhukumu Gardner...hapo usikute binti yake anatoka na yule professa mzee wa totoz.
 
Hivi yule binti Gardner anayezunguka naye viwanja usiku anatofauti na huyu binti yake? Au watu wakimfanyia hivyo binti yake atajisikiaje?

smahani mkuu waweza niasidia namba ya huyo binti wa gadna nataka anieleweshe kuhusu hiyo promotion ya eatel.
 
Tisiwahukumu watoto kwa kesi za wazazi wao! great thinkers tuvae husika.
 
your very pathetic kilichokufanya uweke picha ya huyo bint ni nni wakt your content inamzungumzia baba yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom