Kutana na Kijana wa Tanzania Anaeunda Magari. Wakifanya Kolabo na Kipanya Watafika Mbali

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Hongera bwana Tony Chaula muunda magari.

Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa kutumia vifaa anavyoweza kuvipata kwa gharama ndogo.

Soma Pia: Gari la kwanza la umeme lazinduliwa Tanzania

My Take: Hakuna haja ya Kuagiza magari kutoka China na Japan,tuwawezeshe Wabunifu Wetu wa ndani mfano Kipanya,Nyumbu Trucks na huyu hapa 👇👇

Huyu jamaa inawezakuwa leo mara ya kwanza na ya mwisho kumsikia. Hii nchi acha tu angekuwe Kenya zamani angekuwa mbali ila hapa kwetu hakuna chochote cha maana kitafanyika zaidi ya kumuwekea vikwazo mara TRA, mara NEMC mara Halmashauri mara hamna kitu.
 
Hongera bwana Tony Chaula muunda magari.

Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa kutumia vifaa anavyoweza kuvipata kwa gharama ndogo.

Soma Pia: Gari la kwanza la umeme lazinduliwa Tanzania

My Take
Hakuna haja ya Kuagiza magari kutoka China na Japan,tuwawezeshe Wabunifu Wetu wa ndani mfano Kipanya,Nyumbu Trucks na huyu hapa 👇👇
Jamaa kaona yeye ni tapeli "Anauliza wewe full tank lita 5 wapi na wapi"
 
Huyu Yuko vizuri kuliko masoud kipanya

Huyu katengeneza gari ambayo tayari inatumika kutatua changamoto za kusafirisha mizigo kijijini unafanya kazi

Gari ya kipanya ipo tu kuuza sura Kwa kupigwa picha tu ni kama mdoli tu

Huyu chaula aungwe mkono sababu anachofanya kinaonekana kazini tayari
 
Hongera bwana Tony Chaula muunda magari.

Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa kutumia vifaa anavyoweza kuvipata kwa gharama ndogo.

Soma Pia: Gari la kwanza la umeme lazinduliwa Tanzania

My Take: Hakuna haja ya Kuagiza magari kutoka China na Japan,tuwawezeshe Wabunifu Wetu wa ndani mfano Kipanya,Nyumbu Trucks na huyu hapa 👇👇

"Wabunifu kama sisi" Amebuni nini?
 
Back
Top Bottom