Ni hatua kubwa kimazingira pia chuma chakavu kinatumika vizuri pia inampunguzia gharama za kuunda hizo garithubutu, ana assemble parts za chakavu, ambazo zilitoka hukohuko japani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatua kubwa kimazingira pia chuma chakavu kinatumika vizuri pia inampunguzia gharama za kuunda hizo garithubutu, ana assemble parts za chakavu, ambazo zilitoka hukohuko japani
Naunga mkono hoja.Huyu Yuko vizuri kuliko masoud kipanya
Huyu katengeneza gari ambayo tayari inatumika kutatua changamoto za kusafirisha mizigo kijijini unafanya kazi
Gari ya kipanya ipo tu kuuza sura Kwa kupigwa picha tu ni kama mdoli tu
Huyu chaula aungwe mkono sababu anachofanya kinaonekana kazini tayari
hoja yangu ni kwamba, uagizaji toka China na Japan uko pale paleNi hatua kubwa kimazingira pia chuma chakavu kinatumika vizuri pia inampunguzia gharama za kuunda hizo gari
Inapunguza uagizaji sababu angekuwa hajagundua Ina maana angeagixa gari japani Kwa pesa za kigenihoja yangu ni kwamba, uagizaji toka China na Japan uko pale pale
maana chakavu za huko ndiyo malighafi za huyo jamaa
Mchawi vifaa, inabidi aagize hasa engineHongera bwana Tony Chaula muunda magari.
Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa kutumia vifaa anavyoweza kuvipata kwa gharama ndogo.
Soma Pia: Gari la kwanza la umeme lazinduliwa Tanzania
My Take: Hakuna haja ya Kuagiza magari kutoka China na Japan,tuwawezeshe Wabunifu Wetu wa ndani mfano Kipanya,Nyumbu Trucks na huyu hapa 👇👇
Namuonea huruma sana kwa yanayoenda kumtokea, bora angeachana kabisa na hicho anachokifanyaHongera bwana Tony Chaula muunda magari.
Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa kutumia vifaa anavyoweza kuvipata kwa gharama ndogo.
Soma Pia: Gari la kwanza la umeme lazinduliwa Tanzania
My Take: Hakuna haja ya Kuagiza magari kutoka China na Japan,tuwawezeshe Wabunifu Wetu wa ndani mfano Kipanya,Nyumbu Trucks na huyu hapa 👇👇
Mi naona kama anatumia nguvu nyingi na muda kwa kitu ambacho hakitomlipa kamwe. Hata china hawakupoteza muda kuanzia chini kote huko. Magari tayari yapo tele, tena ya kisasa na very economical. Cha kufanya ni kuanzia walikofikia wenzetu na kuangalia namna ya kuja na innovations ili kuyaongezea thamani zaidi. Hata huyo Kipanya naye aliamua kupoteza muda wake kwenye yale magari tu.Wanafikiria na kumuonea huruma huyo dogo.
Naona utoto tu , hivi hayo mabati wanauonganisha ambapo kila spares ni za nje kuna nn cha maana kweny soko la dunia !?Wabongo tujikite kuvumbua vitu vipya haya ya kuunganisha magari sio kitu kipya amna mtu wa kununua ligari lilio chomelewa tz aacha kitu cha japan
Umenena kweli kabisa, kwa tafsiri sahihi ya neno ubunifu, hapo wanachokifanya ni hakuna kitu kabisa. Ni kama yule mwenzao alipoteza muda mwingi sana eti anaunda helikopta, na viongozi wa serikali nao kabisa wanaenda kumtembelea na kumtia moyo.Hakuna ubunifu hapa
Anahatarisha maisha yakeWe umebuni nini mkuu
Ova
Wanahatarisha maisha yao kwa vitu ambavyo vimeshabuniwa na wako mbali hapo kila kifaa kaunganisha kimetoka katika mashine nyingine za kichina.Umenena kweli kabisa, kwa tafsiri sahihi ya neno ubunifu, hapo wanachokifanya ni hakuna kitu kabisa. Ni kama yule mwenzao alipoteza muda mwingi sana eti anaunda helikopta, na viongozi wa serikali nao kabisa wanaenda kumtembelea na kumtia moyo.