ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
ππ 8 people are here and they comment nothing πππKwa Serikali yenu ya. CCM ni Khalidi na atakamwatwa tuu nipo hapa.
Wanafikiria na kumuonea huruma huyo dogo.ππ 8 people are here and they comment nothing πππ
Unatutesa mwenyewe na huto tugifs sijuiCCM wanasemaje Kuhusu hili...
thubutu, ana assemble parts za chakavu, ambazo zilitoka hukohuko japaniHakuna haja ya Kuagiza magari kutoka China na Japan
Weee tafadhali bhn π πUnateseka ukiwa wapi sweetheart..π
Jamaa kaona yeye ni tapeli "Anauliza wewe full tank lita 5 wapi na wapi"Hongera bwana Tony Chaula muunda magari.
Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa kutumia vifaa anavyoweza kuvipata kwa gharama ndogo.
Soma Pia: Gari la kwanza la umeme lazinduliwa Tanzania
My Take
Hakuna haja ya Kuagiza magari kutoka China na Japan,tuwawezeshe Wabunifu Wetu wa ndani mfano Kipanya,Nyumbu Trucks na huyu hapa ππ
And the nineth guy comment about the 8 instead of the Post! And I too comment about the 9 instead of the Post, shit!ππ 8 people are here and they comment nothing πππ
"Wabunifu kama sisi" Amebuni nini?Hongera bwana Tony Chaula muunda magari.
Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa kutumia vifaa anavyoweza kuvipata kwa gharama ndogo.
Soma Pia: Gari la kwanza la umeme lazinduliwa Tanzania
My Take: Hakuna haja ya Kuagiza magari kutoka China na Japan,tuwawezeshe Wabunifu Wetu wa ndani mfano Kipanya,Nyumbu Trucks na huyu hapa ππ
Ni hatua kubwa akiwezeshwa at assemble parts mpyathubutu, ana assemble parts za chakavu, ambazo zilitoka hukohuko japani