Kutana na Kijana wa Tanzania Anaeunda Magari. Wakifanya Kolabo na Kipanya Watafika Mbali

Naunga mkono hoja.
 
Ni hatua kubwa kimazingira pia chuma chakavu kinatumika vizuri pia inampunguzia gharama za kuunda hizo gari
hoja yangu ni kwamba, uagizaji toka China na Japan uko pale pale
maana chakavu za huko ndiyo malighafi za huyo jamaa
 
Watu kama hawa nawakubaligi sana

Ova
 
hoja yangu ni kwamba, uagizaji toka China na Japan uko pale pale
maana chakavu za huko ndiyo malighafi za huyo jamaa
Inapunguza uagizaji sababu angekuwa hajagundua Ina maana angeagixa gari japani Kwa pesa za kigeni

Hapo pesa za kigeni zimenusurika
 
Wabongo tujikite kuvumbua vitu vipya haya ya kuunganisha magari sio kitu kipya amna mtu wa kununua ligari lilio chomelewa tz aacha kitu cha japan
 
Mchawi vifaa, inabidi aagize hasa engine
 
Namuonea huruma sana kwa yanayoenda kumtokea, bora angeachana kabisa na hicho anachokifanya
 
Wanafikiria na kumuonea huruma huyo dogo.
Mi naona kama anatumia nguvu nyingi na muda kwa kitu ambacho hakitomlipa kamwe. Hata china hawakupoteza muda kuanzia chini kote huko. Magari tayari yapo tele, tena ya kisasa na very economical. Cha kufanya ni kuanzia walikofikia wenzetu na kuangalia namna ya kuja na innovations ili kuyaongezea thamani zaidi. Hata huyo Kipanya naye aliamua kupoteza muda wake kwenye yale magari tu.
 
Wabongo tujikite kuvumbua vitu vipya haya ya kuunganisha magari sio kitu kipya amna mtu wa kununua ligari lilio chomelewa tz aacha kitu cha japan
Naona utoto tu , hivi hayo mabati wanauonganisha ambapo kila spares ni za nje kuna nn cha maana kweny soko la dunia !?
Miaka hii kujadili mambo kama hayo ni utoto .
 
Hakuna ubunifu hapa
Umenena kweli kabisa, kwa tafsiri sahihi ya neno ubunifu, hapo wanachokifanya ni hakuna kitu kabisa. Ni kama yule mwenzao alipoteza muda mwingi sana eti anaunda helikopta, na viongozi wa serikali nao kabisa wanaenda kumtembelea na kumtia moyo.
 
We umebuni nini mkuu

Ova
Anahatarisha maisha yake
Umenena kweli kabisa, kwa tafsiri sahihi ya neno ubunifu, hapo wanachokifanya ni hakuna kitu kabisa. Ni kama yule mwenzao alipoteza muda mwingi sana eti anaunda helikopta, na viongozi wa serikali nao kabisa wanaenda kumtembelea na kumtia moyo.
Wanahatarisha maisha yao kwa vitu ambavyo vimeshabuniwa na wako mbali hapo kila kifaa kaunganisha kimetoka katika mashine nyingine za kichina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…