ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Gono imetesa watu sana zamani usiichukulie poaWalikua wanakwepa Nini Hadi watumie kondomu?
Huenda ilikuwa ni njia ya kujilinda dhidi ya Mimba zisizotarajiwaWalikua wanakwepa Nini Hadi watumie kondomu?
Ingekuwa ni Mimi nisingekuwa natumia, kwanza zamani hakukuwa na UKIMWI kama sasa 😜Hii kali sasa hapo wote si mtanuka kibeberu.
To protect against diseaseWalikua wanakwepa Nini Hadi watumie kondomu?
Zamani ipi hiyo unaizungumzia wakati ukimwi wa zamani ukiupata uchukui mda unakufa.Ingekuwa ni Mimi nisingekuwa natumia, kwanza zamani hakukuwa na UKIMWI kama sasa 😜
Ila Gono na syphilis lilikuwa linaua balaaaaIngekuwa ni Mimi nisingekuwa natumia, kwanza zamani hakukuwa na UKIMWI kama sasa 😜
Mfano Tanzania Bara, UKIMWI uliingia Mwaka 1989Zamani ipi hiyo unaizungumzia wakati ukimwi wa zamani ukiupata uchukui mda unakufa.
Yeah ni kweli, japo kulikuwa na dawa za kutibu lakini sio UKIMWI ambao hauna dawa kabisaIla Gono na syphilis lilikuwa linaua balaaaa
Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa lakini hakuna ushahidi mgumu kwa hili. Kabila la kizamani la Djukas [1] lililoishi New Guinea lilianzisha wazo lake la kondomu.
Mliishi kwa raha sana, no stress za ukimwi ila STI's nyingine zilikuwepo?Mfano Tanzania Bara, UKIMWI uliingia Mwaka 1989
Kwahiyo kabla ya hapo Wazee walikuwa wanajilia Mali safi kama ilivyo 😜
Yeah ni kweli, maisha yalikuwa matamu sanaMliishi kwa raha sana, no stress za ukimwi ila STI's nyingine zilikuwepo?
Walikuwa wakikwepa kuendeleza kizazi.Walikua wanakwepa Nini Hadi watumie kondomu?
Hatuwezi kurewind?Yeah ni kweli, maisha yalikuwa matamu sana
Zama hizo hakukuwa na Antibiotics za kutibu Gono na syphilis.... Weka hii kwenye kumbukumbu zakoYeah ni kweli, japo kulikuwa na dawa za kutibu lakini sio UKIMWI ambao hauna dawa kabisa