Kutana na Kondom ya kale

Kutana na Kondom ya kale

Zama hizo hakukuwa na Antibiotics za kutibu Gono na syphilis.... Weka hii kwenye kumbukumbu zako
Sahihi Mkuu, ila nilikuwa mwaminifu mno kwahiyo hayo maradhi nilikuwa nayasikia Kwa watu tu 🤗
 
Mzee mwenzangu unanifelisha sana
Mtu mzima haishiwi mbinu
Hahaha.............Sina ujanja Mkuu, mara ya mwisho niliwahi kususiwa kazi Moja hivi Kali balaa, lakini nasikikita hakuna nilichofanikiwa zaidi ya kuambilia kukunwa kidevu changu chenye ndevu nyeupe 🤗
 
Mzee mwenzangu unataka kuniambia, umeshavuka 60 yrs
Mpaka unashindwa kunyanyua AK-47?
 
Back
Top Bottom