Kutana na Kondom ya kale

Zama hizo hakukuwa na Antibiotics za kutibu Gono na syphilis.... Weka hii kwenye kumbukumbu zako
Sahihi Mkuu, ila nilikuwa mwaminifu mno kwahiyo hayo maradhi nilikuwa nayasikia Kwa watu tu πŸ€—
 
Hakuna jipyaaa chini ya jua aaah!!,

Vyote unavyoviona vilikuwepo......

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ–πŸΎ
 
Mzee mwenzangu unanifelisha sana
Mtu mzima haishiwi mbinu
Hahaha.............Sina ujanja Mkuu, mara ya mwisho niliwahi kususiwa kazi Moja hivi Kali balaa, lakini nasikikita hakuna nilichofanikiwa zaidi ya kuambilia kukunwa kidevu changu chenye ndevu nyeupe πŸ€—
 
Mzee mwenzangu unataka kuniambia, umeshavuka 60 yrs
Mpaka unashindwa kunyanyua AK-47?
 
Mzee mwenzangu unataka kuniambia, umeshavuka 60 yrs
Mpaka unashindwa kunyanyua AK-47?
Mkuu nimestaafu Mwaka 2005, kwahiyo hata hizo PisiKali naishia kuziona Kwa TV tu πŸ€— πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…